Bonihasto Boni P - Game Over [tekst, tłumaczenie i interpretacja piosenki]

Wykonawca: Bonihasto Boni P
Data wydania: 2014-10-02
Gatunek: Rap
Producent: Mesen Selekta

Tekst piosenki

[INTRO]
Naspit Lugha Chafu habari mbaya kwa wasafi
Wat it do dirty dirty
Bonihasto
Yeahhhhh

[VERSE 1]
Naspit lugha chafu,habari mbaya kwa wasafi
Flow inapigwa rafu , bado mchizi nipo high
Nimecome bila ishara,no salamu n0 trela
Nipo hot ile imara ,natake over kisela
Barz zinamake rain,nareign kila channel
Mitaa inafeel again,nagain extra sell
Nafanya ngumu maumivu, nani humu atasavivu
Tabasamu nusu uvivu ,ninarun 255
Sio pekee unayenigwaya,hata ticha wako ananihofia
Nameteka kila himaya,muulize rapa unayemsifia
Tattoos fake kujiita gangster,hizo ni drama mzazi
Haushine bila feature,flow nzima unacopy
Nasikiaga wanaandika,mi nachora mpaka sifa
Navunja kila record,brain imeshiba maarifa
%%%%%$$$$$$$??????,colm bongo rap saviour
Ni ile Flow yenye swagga,fleva adimu kwa kitaa
O yeah hapatoshi
Mashairi yanafuka moshi
Ukishtuka nishatisha,na mchezo ushakwisha
Matokeo yanakupagawisha, Namba moja nawakilisha

[HOOK]
Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Nakimbiza hii mitaa, Game over
Nakimbiza hii mitaa Game over
Nakimbiza hii mitaa ,Game over
Ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show


[VERSE 2]
Weka Battle kisha bet,na my brain ipo bright
Niwashike kile ubeti,niwamalize na show tight
Sura kavu sina hofu,habari iliyokuja na dosari
Nimemasta hii gemu,moyo jasiri hodari
Fake niggaz wanahate,kwa hizi metaphor wanasweat
Wanaspit bila fakt,style zao outta date
Wanafananisha kama sana,kila line wanajikana
Waliposimama haijajulikana,ile ya jana haina maana
18 knockout round hii sikuachi
3D,on stage,ni ushindi kila touch
Mi alone sihitaji team,uwezo makini hawachomoki
Naogopesha kwa dream,wanascream gmme the break
Usikosee raha nigga ,kama kidole cha kati
Huwezi simama mmoja wenzako wote wakiketi
Rewind zile line hazijakukaa kwenye mind
Go blind kila sehemu nawaachia vumbi
O yeah ,Me siye yule unayemtaka
Me ni yule anayewashata,new chapta soma chapa
Haaaa Yule Chalii aiseee
Nafanya mbio watimue,yo lazima unichukie bro

[HOOK ]
Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Nakimbiza hii mitaa, Game over
Nakimbiza hii mitaa Game over
Nakimbiza hii mitaa ,Game over
Ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show


[Verse 3]
Duke moja chali,hii place haustahili
Mi noumer chalii,na hii swahili
Mcz wameshika tama,hali duni
Nasound kinyamwezi wanasema nasahau tamaduni
Ni dakika za majeruhi,namaanisha hitimisho
Usinipe hata hi ,tabasamu mara ya mwisho
Mzuka upo high ,nasimamia kila show
Nishajikaki kifasihi,ni ushindi hakuna droo
Ni ushindi hakuna droo
Naharibu kila show
Bonihasto Boni P
Best Rapper In Town

[HOOK]
Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Nakimbiza hii mitaa, Game over
Nakimbiza hii mitaa Game over
Nakimbiza hii mitaa ,Game over
Ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show

Tłumaczenie piosenki

Nikt nie dodał jeszcze tłumaczenia do tej piosenki. Bądź pierwszy!
Jeśli znasz język na tyle, aby móc swobodnie przetłumaczyć ten tekst, zrób to i dołóż swoją cegiełkę do opisu tej piosenki. Po sprawdzeniu tłumaczenia przez naszych redaktorów, dodamy je jako oficjalne tłumaczenie utworu!

+ Dodaj tłumaczenie

Wyślij Niestety coś poszło nie tak, spróbuj później. Treść tłumaczenia musi być wypełniona.
Dziękujemy za wysłanie tłumaczenia.
Nasi najlepsi redaktorzy przejrzą jego treść, gdy tylko będzie to możliwe. Status swojego tłumaczenia możesz obserwować na stronie swojego profilu.

Interpretacja piosenki

Dziękujemy za wysłanie interpretacji
Nasi najlepsi redaktorzy przejrzą jej treść, gdy tylko będzie to możliwe.
Status swojej interpretacji możesz obserwować na stronie swojego profilu.
Dodaj interpretację
Jeśli wiesz o czym śpiewa wykonawca, potrafisz czytać "między wierszami" i znasz historię tego utworu, możesz dodać interpretację tekstu. Po sprawdzeniu przez naszych redaktorów, dodamy ją jako oficjalną interpretację utworu!

Wyślij Niestety coś poszło nie tak, spróbuj później. Treść interpretacji musi być wypełniona.

Lub dodaj całkowicie nową interpretację - dodaj interpretację
Wyślij Niestety coś poszło nie tak, spróbuj później. Treść poprawki musi być wypełniona. Dziękujemy za wysłanie poprawki.
Najpopularniejsze od Bonihasto Boni P
Imeshatoka
396
{{ like_int }}
Imeshatoka
Bonihasto Boni P
BFS
369
{{ like_int }}
Who Me Be(W.M.B)
352
{{ like_int }}
Who Me Be(W.M.B)
Bonihasto Boni P
Game Over
302
{{ like_int }}
Game Over
Bonihasto Boni P
Hunipati
301
{{ like_int }}
Hunipati
Bonihasto Boni P
Komentarze
Polecane przez Groove
Eviva l'arte!
53
{{ like_int }}
Eviva l'arte!
Sanah
Na ostatnią chwilę
737
{{ like_int }}
Na ostatnią chwilę
PRO8L3M
Fioletowy rok
814
{{ like_int }}
Fioletowy rok
Szpaku
Mood
608
{{ like_int }}
Mood
Gibbs
PRZESTRZEŃ
30
{{ like_int }}
PRZESTRZEŃ
Trzech Króli
Popularne teksty
Siedem
53,9k
{{ like_int }}
Siedem
Team X
34+35
46k
{{ like_int }}
Love Not War (The Tampa Beat)
26,6k
{{ like_int }}
Love Not War (The Tampa Beat)
Jason Derulo
SEKSOHOLIK
185,6k
{{ like_int }}
SEKSOHOLIK
Żabson
Snowman
95,5k
{{ like_int }}
Snowman
Sia