Fid Q - Siri Ya Mchezo ( The Game's Secret ) [tekst, tłumaczenie i interpretacja piosenki]

Wykonawca: Fid Q
Album: KitaaOLOJIA ( StreetOLOGY )
Data wydania: 2013-10-18
Gatunek: Rap
Producent: Ben Mwamba

Twórz Groove z nami!
Wyślij okładkę tej piosenki!
Wysyłany plik musi być typu: png lub jpg. Żaden plik nie został wysłany. Dziękujemy za wysłanie okładki.

Tekst piosenki

Nilipotoka mbali na ninaheshimu nilipo/sikuwa na umuhimu kihivyo… stimu zikanipa elimu ya Biko/ Kimaandiko… kimistari.. hadi fans wanascream nikirap../ sikuamini kama nina zali mpaka nilipoidream hiphop/
Wanapagawa…. Na baadhi ya mambo nayoyajua.. pia nina uwezo wa kufanya mpaka madawa yanaugua/
Wanapagawa na nyimbo ngumu hawa #teamMabiiitoz /
Achana na power window.. sijui rimz za dimpoz/
Haileti bingo, mshiko? Star ishi simple/ sanaa iko hivyo sometimes.. hukataa kukaaa ulipo/
Wanaodharau.. hujiletea matatizo..hawajui kama wadau… hupendelea kukuona hivyo?/ bonge la staa.. donge la njaa.. hauna kitu/
Jikombe ugongwe…mtaaa ukuone hauna ishu/
Ukishindwa kujiandaa… jiandae kushindwa/mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda/ Usmati anaotinga, majumba mandinga ya bwana Almasi.. je hizi track za harakati ni ujinga?/
HAPANA.... nguvu ya mamba ni maji/ na umaarufu au kutamba.. kushika namba ni bahati..sio kipaji kama Kubanda eti unachana kigumu/ kisa track ikivuma sana kwenye chati haidumu /
Amani kwa chachage na MAKUWADI wa SOKO HURIA../ baba asante kwa UTAFITI na ZAWADI ya ALMASI ya BANDIA/NYUMBANI… nasikiliza DUNIA YA SASA ya MARIJANI../ najiuliza tutarithi nini ikiwa IMANI ishakwisha tangu zamani?/ labda kubisha na wakinitisha najihami../ inasikitisha unapoibiwa na aliyekupigisha ni jirani/
‘’ Pole MAPROSOO’’ ( uhujumu --uchumi ) umefanya umetubu.. / WAZEE ni wahuni hadi soo waay back before SUGU/
Taifa la kondoo.. huendeshwa na serikali ya Dubu/ na MBWA MWITU wenye siri.. ili bepari umuabudu/ kimahakama, kiserikali, kidini umsujudu../ huo ni utumwa pia/Unafanya vijana wanaumia../ Tunaishia kufia mabatani kama nzi ndani ya glass ya bia..

CHORUS: ( Juma Nature )
Siri ya mtungi aijuaye kata../ komaa… kaza.. kisha utapata/ x 2
Siri ya mchezo naijua mimi.. tu.. na hakuna mwingine x 2

VERSE 2:
Tofauti ya BIASHARA na SIASA ikila hasara inaweza buma/ wakati SIASA kila mara ukiwa unang’ara ujue kuna.. kinara/ anayeunda msafara wa wanaojituma na kuchuma kwa kukufanya uwe imara hapo hasara hakuna/ KIDUMU CHAMA CHA MASELA… Ukoloni mambo leo umetupa uhuru wa bendera,/
Tuone kufuru za wenye hela/
TANZANIA ni ‘ demu wa mtungo ‘ wanamuiita CHA WOOTE/’’ HANGOVER .. ‘’anaikimbia kwa kupiga ‘ “ mtungi “ saa zote /Mkubwa anazuga atasolve… matatizo ya nchi yake/ ‘’na gari bovu..’’ halisukumwi kwa kukaa ndani yake/ MAENDELEO ni ile ndoto..MWEZEKAJI ashaipuuza../ je Kukaa karibu na moto ni kuuota au kujiunguza? / hakuna UHURU wa kweli (Africa) msidanganywe na illusion/ na daily tunafeli sababu ya POLITICAL institutions/
CIVILIZATION imeadvance sasa wanatuua economically../ hakuna utumwa mbaya kama ule wa kujiona uko free/ Kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguu/ kila ganda litakutoa machozi na utabaki macho juu/Ukishafika kwenye kiini niambie nini utagundua..? zaidi ya mafaili yaliyounganika utaghairi kuyafunua?
Wamejivisha U-NOAH.. SAFINA zao zikatoboka/
Wakajivisha U-MUSSA.. FIMBO zao hazikugeuka NYOKA/
Sasa wanaujaribu U-MUNGU MTU kuamua nani leo atatoka….!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????????

Tłumaczenie piosenki

Nikt nie dodał jeszcze tłumaczenia do tej piosenki. Bądź pierwszy!
Jeśli znasz język na tyle, aby móc swobodnie przetłumaczyć ten tekst, zrób to i dołóż swoją cegiełkę do opisu tej piosenki. Po sprawdzeniu tłumaczenia przez naszych redaktorów, dodamy je jako oficjalne tłumaczenie utworu!

+ Dodaj tłumaczenie

Wyślij Niestety coś poszło nie tak, spróbuj później. Treść tłumaczenia musi być wypełniona.
Dziękujemy za wysłanie tłumaczenia.
Nasi najlepsi redaktorzy przejrzą jego treść, gdy tylko będzie to możliwe. Status swojego tłumaczenia możesz obserwować na stronie swojego profilu.

Interpretacja piosenki

Dziękujemy za wysłanie interpretacji
Nasi najlepsi redaktorzy przejrzą jej treść, gdy tylko będzie to możliwe.
Status swojej interpretacji możesz obserwować na stronie swojego profilu.
Dodaj interpretację
Jeśli wiesz o czym śpiewa wykonawca, potrafisz czytać "między wierszami" i znasz historię tego utworu, możesz dodać interpretację tekstu. Po sprawdzeniu przez naszych redaktorów, dodamy ją jako oficjalną interpretację utworu!

Wyślij Niestety coś poszło nie tak, spróbuj później. Treść interpretacji musi być wypełniona.

Lub dodaj całkowicie nową interpretację - dodaj interpretację
Wyślij Niestety coś poszło nie tak, spróbuj później. Treść poprawki musi być wypełniona. Dziękujemy za wysłanie poprawki.
Najpopularniejsze od Fid Q
Ni Hayo Tu
464
{{ like_int }}
Ni Hayo Tu
Fid Q
Bongo Hiphop
430
{{ like_int }}
Bongo Hiphop
Fid Q
Bendera Ya Chuma
395
{{ like_int }}
Bendera Ya Chuma
Fid Q
Kemosabe
395
{{ like_int }}
Kemosabe
Fid Q
Siri Ya Mchezo ( The Game's Secret )
374
{{ like_int }}
Siri Ya Mchezo ( The Game's Secret )
Fid Q
Polecane przez Groove
Nie boję się jutra
607
{{ like_int }}
Nie boję się jutra
ReTo (PL)
Na ostatnią chwilę
470
{{ like_int }}
Na ostatnią chwilę
PRO8L3M
Futurama 3 (fanserwis)
3,6k
{{ like_int }}
Futurama 3 (fanserwis)
Quebonafide
Ma Meilleure Ennemie
14,5k
{{ like_int }}
Ma Meilleure Ennemie
Stromae
PINEZKA
135
{{ like_int }}
PINEZKA
Kizo
Popularne teksty
Siedem
53,8k
{{ like_int }}
Siedem
Team X
34+35
45,8k
{{ like_int }}
Love Not War (The Tampa Beat)
26,6k
{{ like_int }}
Love Not War (The Tampa Beat)
Jason Derulo
SEKSOHOLIK
184,3k
{{ like_int }}
SEKSOHOLIK
Żabson
Snowman
94,1k
{{ like_int }}
Snowman
Sia